Wednesday, May 16, 2007

Nyumbani ya Samantha Kiswahili


Hamjumbo,

Mimi ni mwanafunzi wa chou cho Ohio Wesleyan Univeristy. Mimi ninasoma Kiswahili wa OWU na mimi ninaandika blog wa OWU Kiswahili.

Kiswahili ni lugha inasema barra la Afrika na nchi ya England. Mimi siishi barra la Afrika ou nchi ya England. Mimi ninaishi jimbo la Ohio. Mimi ninaishi mji wa Delaware kwasababu mimi ninasoma chou cho OWU. Mimi ninajifunza Kiswahili na English. Pia, mimi ninaandika hadithia. Hadithi ni muhimu kwasababu inafundisha manna ya myisha na disturia na kabila wa watu. Mimi ninaandika kuhusu myisha ya watu. Mimi ninapenda hadithi.

Mimi nina rafiki jina lake Katie. Katie anasoma chou cho Colby jimbo la Maine. Katie anazuru nyumbani karibu. Baada ya nyumbani, Katie anazuru Cape Cod kwasababu yeye anaishi Cape Cod majiri ya joto. Mimi ninataka kuzuru Katie lakini mimi sinina fedha. Mimi ninapenda ndege na sizuri mimi sizuru Katie.

Mimi ninataka kuandika blog Kiswahili kwasababu mimi sina la kufanya na anaandika Kiswahili ni burudani. Na anaandika Kiswahili anaonyesha lugha walimu wa chou cho OWU ni wazuru.

Kwa herini!

PS. The pictures have absolutely nothing to do with what the blog is about. Thought that disclaimer might be better served in English.
Have a great week.

6 comments:

Mery said...

.....translation...?? that's pretty impressive.

Samantha said...

I hope that it comes soon, the translation jig, we'll see.

Yea, thanks for the compliment, and without Mwahilimu Skandor I wouldn't have gotten anywhere.

Yay swahili

Anonymous said...

As usual, you're the best blogger of the bunch that the university picked ... Rock on :o)

Interestingly enough - speaking of blogging - while I am not one to trust every survey-poll that is thrown at us, so perhaps this is not even accurate (?) - Web 2.0 is the next gen of the internet, and is more interactive; this includes blogging and advanced IM, etc ...

Seems like only a small minority of those who use the internet fit into the 'web 2.0' class ... I wonder how true (or false) that really is.

Samantha said...

Thank you for the compliment. I am always grateful for feedback, especially on the blogs that are composed in foreign languages.

I had honestly never heard of web 2.0 before but after doing a bit of research I see what you mean. This internet "advancement" would only benefit users of online communication-- blogging, IM, etc-- so its development would service users of those medias. There is some talk of enhancing websites as well, but only those that use an online media of some sort.

The idea is truly an interesting one and perhaps a push for a more internet/tech/web communication savvy society. Whether that is a positive or a negative turn, I am up in the air, but with stamp prices rising like gas prices I wouldn't be surprised by a rise in web communication.

Unknown said...

Habari Gani Samantha?
Mimi ninaitwa Martin na ninaishi kwa jiji la New York. Umenifurahisha kuwa vile umeandika kiswahili vizuri sana bila makosa mingi sana. Wewe endelea kujitahidi na kujifunza hii lugha. Mimi nilizaliwa Kenya nikaja New York nikiwa umri 10(kumi) tu. Na sasa ninajifunza lugha ya kiswahili kwa hobby yangu (sijatambua neno la hobby kwa kiswahili). Ungetaka kuzoea kwa hii lugha poa sana unaweza kuwasiliana nami kwa kutuma barua pepe kwa anwani ya mbogho@gmail.com. Haya mwanafunzi kwaheri.

bytestyle12 said...

This article will give you a quick SWTOR Smuggle review so you can see if the play style is something you would be interested in.
BMW 550 Air Conditioner Compressor